HakikaMupambane tuu mana sio rahisi yaani![]()
Ukifanyiwa hivi huku unafanyiwa skrabu huchomoi



Nilijichanganya nikaingia barbershop moja ya kisasa pale Mikocheni uwiii. Baada ya kunyolewa na kabla sijajua kinachoendelea nikajikuta niko peke yangu kwenye kichumba hivi na mrembo wa Kiiraqwi eti nifanyiwe skrabu. Msukuma hata hiyo skrabu sijawahi kuisikia. Nilikuwa ndo nimeuza nyanya na dengu zangu huko Misungwi hivyo nilikuwa nimepiga pamba za uhakika sana. Eeh bana eeh. Kitambaa cha maji ya uvuguvugu kikapita kichwani na kwenye midevu. Mara matiti meupe laini mchongoko yaliyoshiba haya hapa laivu huku skrabu ikiendelea halafu kwa sauti nyororo nikaulizwa "unataka nini?". Hata sijui nilijibu nini lakini mpaka naondoka pale nilipigwa elfu kadhaa japo kunyoa nadhani ilikuwa elfu 15 hivi. Sasa hivi nanyolea kwenye barbershop za Uswazi huku ambako hakuna hii mishtukizo ya skrabu. Buku mbili tu kichwa safiiii![]()
Asilimia kubwa wanaume wanaoingia kwenye barbershop ni wahuniNairobi ndio usipime, mara ya kwanza yalinikuta ya kihivyo, nikawa tayari kurudi ninyolewe kila siku sema niliogopa shemeji atashtukia mchezo, midemu huparamia mwanaume wanakufanya mavitu sijui mara scrub mara sijui nini...yaani mimi husema yes kwa chochote wanachouliza, ila nakua nimejiandaa na mihela.
Mjeshi mlendaView attachment 1887230