[emoji23][emoji23][emoji23]
Chezea video ya utupu weye[emoji23]Nikutumie vocha[emoji3061]View attachment 1866625
Huyo tapeli atakuwa mshabiki wa Simba [emoji23]Mtuache[emoji3]View attachment 1866629
Yaani mie nimeamka hivi[emoji3][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]View attachment 1866951View attachment 1866952
Yaan[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39]Huyo tapeli atakuwa mshabiki wa Simba [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]khaa!Anatembea na simu ya kazi[emoji23][emoji23]View attachment 1866969
Huh ujinga siachi[emoji3][emoji23][emoji23]View attachment 1866967
[emoji23]kona zote.Acheni kona konaView attachment 1866963
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],[emoji23][emoji23][emoji23] Wapi mawardat
Kumbe nawe umo[emoji23][emoji23]Huh ujinga siachi[emoji3]
Umenikumbusha mbali sana mjukuu. Enzi zetu ukiwa umeulamba hivi halafu uwe na baisikeli ya Phoenix uliyoinunua baada ya kuuza pamba nakwambia demu hachomoi. Hata yule aliyekula sh. kumi yangu nilikuwa nimeulamba hivi hivi. Yaani mpaka leo sijui nilikwama wapi yaani dah!Napenda kutuma salamu kwa babu yangu,anaitwa mzee simba.
Salamu imfikie popote pale alipo,,,,,napenda kumwambia Kuwa nimemkumbuka sana,
Aje atutengenezee juisi ya ulezi kuchanganya na parachichi[emoji16]
View attachment 1866591
Watapata omwana [emoji16][emoji16][emoji16]Hakuna mwenye sura mbaya[emoji16]View attachment 1866609
Zilikuwa Sato. Bahari ya Galilaya haina sangara!Itakuwa San ga......[emoji16],babu anajua.View attachment 1866643