D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
messi na ronaldo
Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapaTanzania
01.[emoji117] Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.
02.[emoji117] Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.
03.[emoji117] Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia
Siasa na kuwaongoza wote hapo juu.
Yaani wa kwanza na wa pili.
04.[emoji117] Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu
wote hawana raha.
05.[emoji117] Wale waliopata Zero na waliokataa
shule wanakuwa waganga wa kienyeji,
wote hapo juu watamtafuta huyu, pale
mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1550][emoji1550][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23]ko unataka kusema tuwe.... Au basi[emoji124][emoji124][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]ko unataka kusema tuwe.... Au basi[emoji124][emoji124]
Baadae uje ufute huu utopolo wako madam[emoji16][emoji16]YAANI LEO SIMBA WAFUNGWE
Timu yanga[emoji7]naipenda sana
Halafu simba wakifunga wanakelele sana[emoji2]mbona leo sitopata usingizi[emoji17]
I[emoji173]yanga
Dah hii kitu siwezi kuacha kabisa hata nifikie umri wa kuitwa babu[emoji16][emoji16]PS hadi kieleweke! [emoji1787]
View attachment 1867388
...and they left Harvard not UDOM [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Vitu kwa ground ni different! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1867390
[emoji23][emoji23]Amin wote apo wanakutegemea ww[emoji3]
Hiyo no. 5 unakuwa boss wa wote.
Tuko pamoja mjukuu. Huwa wakifungwa nchi nzima inatulia yaani.YAANI LEO SIMBA WAFUNGWE
Timu yanga[emoji7]naipenda sana
Halafu simba wakifunga wanakelele sana[emoji2]mbona leo sitopata usingizi[emoji17]
I[emoji173]yanga
Ko kwa Tz alikuwepo m1 ty???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]siwezi kifuta nina uhakika leo kuna mnyama anachinjwa[emoji23]Baadae uje ufute huu utopolo wako madam[emoji16][emoji16]
Wanamakelele sana simba,yaani babu leo wanachinjwa[emoji16]Tuko pamoja mjukuu. Huwa wakifungwa nchi nzima inatulia yaani.