[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]Kina kurasa ngapi[emoji23]View attachment 1866687
....Pengine Mkuu ulizima simu!!![emoji854]View attachment 1858886
Oya mzee, em kuwa na heshima kidogo, kwahy mimi ni mganga wa kienyeji.?Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapaTanzania
01.👉 Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.
02.👉 Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.
03.👉 Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia
Siasa na kuwaongoza wote hapo juu.
Yaani wa kwanza na wa pili.
04.👉 Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu
wote hawana raha.
05.👉 Wale waliopata Zero na waliokataa
shule wanakuwa waganga wa kienyeji,
wote hapo juu watamtafuta huyu, pale
mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
😂😂😂😂😉😆😆😆🏃🏿🏃🏿😜😜😜😜😜
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapaTanzania
01.[emoji117] Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.
02.[emoji117] Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.
03.[emoji117] Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia
Siasa na kuwaongoza wote hapo juu.
Yaani wa kwanza na wa pili.
04.[emoji117] Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu
wote hawana raha.
05.[emoji117] Wale waliopata Zero na waliokataa
shule wanakuwa waganga wa kienyeji,
wote hapo juu watamtafuta huyu, pale
mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1550][emoji1550][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]