Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
😬😬😬
Akili kubwa hiiNchi ya matukio hii. Moto wa miamala ulipamba moto...watu wakaambiwa waende Burundi...mama akatoa maagizo wizara husika sijui zifanyeje...mara paap Mbowe ndani kwa ugaidi. Twitter na mitandao yote inamwongelea Mbowe. Miamala naona ndo imetoka hiyo. Mbowe ataachiwa na hakuna atakayekumbuka miamala tena hasa kama katukio kengine katafuatia. Bongo !!!
View attachment 1865395View attachment 1865396View attachment 1865397View attachment 1865398
[emoji23][emoji23][emoji23]Utakuwa unazo wallah
Weupe wa vikopo huo kamanda[emoji23]Uwongo. Mbona huyu ni mweupe na ni Mnyaki pyua 100%?
View attachment 1865300
View attachment 1865301
[emoji23][emoji23][emoji23] Wapi mawardat
Teh teh teh[emoji23][emoji23]
Mikwara tu hiyo[emoji23]Kifo nje nje wazee wangu [emoji16]View attachment 1866701