Kuna la uwongo Fulani pale
Life is funny,wapi hku[emoji441][emoji441][emoji441]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bibi wa sh.kumi,inaonekana ulimpenda sana basi ndio vile tena[emoji16]kisicho ridhki hakiliki[emoji1787]Umenikumbusha mbali sana mjukuu. Enzi zetu ukiwa umeulamba hivi halafu uwe na baisikeli ya Phoenix uliyoinunua baada ya kuuza pamba nakwambia demu hachomoi. Hata yule aliyekula sh. kumi yangu nilikuwa nimeulamba hivi hivi. Yaani mpaka leo sijui nilikwama wapi yaani dah!
Asante kwa kumbukumbu nzuri mjukuu. Kila kitabu na zama zake. Enzi zenu hizi ni vijinsi vya kubana na mlegezo..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]omwana nyamaza nitakupiga[emoji23]Watapata omwana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1867077
Sana,tena wakichinja kuku nawaambia si mnajua nyama ya ng'ombe situmii[emoji16]mama kasema niwe nakunywa supu ya kuku,kwahiyo nipeni mchuzi mwingi[emoji23]Kumbe nawe umo[emoji23][emoji23]
Chanjo za fasta ziko wapi mazee[emoji15][emoji15]?
nliwahi kumuuliza wife hii, akanijibu kwani wewe unaweza kusimamisha mwanao akiwa uchi[emoji124]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikutumie vocha[emoji3061]View attachment 1866625
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila wabongo aisee! MmenishindaItakuwa San ga......[emoji16],babu anajua.View attachment 1866643
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapaTanzania
01.[emoji117] Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.
02.[emoji117] Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.
03.[emoji117] Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia
Siasa na kuwaongoza wote hapo juu.
Yaani wa kwanza na wa pili.
04.[emoji117] Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu
wote hawana raha.
05.[emoji117] Wale waliopata Zero na waliokataa
shule wanakuwa waganga wa kienyeji,
wote hapo juu watamtafuta huyu, pale
mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1550][emoji1550][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]