Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Niwekee mkono mtumishi. Pepo la ubahili tokaaa! Faya faya faya pepo la kutokumjali mwenzio tokaaa! Shandala la la la bobolimoku po po po pa pa pa faya faya tokaaaa!
Kanisa lako liko sehemu gani huko Mbeya? Au ni lile nyuma ya lile la Mbarikiwa Mwakipesile karibu na barabara kuu iendayo Uyole?
Tujadili la vpn kwanzaView attachment 1865213
Mshkaji ana bonge la pengo!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Cc: Taavid
Makanje Mungu anakuonaWe Makanje Useri siyo mbali.View attachment 1866488
Sukari yake sasa. Sipati picha [emoji16]
Sukari yake sasa. Sipati picha [emoji16]