Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

......

IMG_20210716_215245.png
 
Huyo Mnyaki tayari keshabebwa na Msukuma. Hawa hawapindui kwetu. Ila kipengere, wanajua kupika 'ugali'?
Lete habari kamili mkuu. Najua ni Mrs. ila nilikuwa sijui kama kaolewa na Msukuma. Huwa anataniana sana na Wasukuma eti washamba na nitashangaa mno kama hubby wake ni Msukuma [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hata ukiwa na hela nzuri, still hela uliyomkopesha mtu inauma sana. Wakati mwingine unasitisha kufanya jambo lako, unampe mtu atatue changamoto yake; afu yeye anakuja kukuzingua. Hela huipati na mahusiano yanakufa.

Mwambie alipe deni lake, asijipoteze ufahamu
Nimesema siku nikizinyaka naona nitamlipia tu kwa sababu wakiendelea hivyo kuna hatari yangu kupoteza marafiki wote wawili [emoji16]
 
Back
Top Bottom