Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,761
- 146,978
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kisa nini, we gonga nguo zako unazopenda.
Labda kama huyo mpuuzi mwenzio mlikutania kanisani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kisa nini, we gonga nguo zako unazopenda.
Labda kama huyo mpuuzi mwenzio mlikutania kanisani
Hapo hujapata mamamkwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1856339
[emoji23][emoji23]
Labda.Kijijini kwetu hatupo na miguu ya hivyo[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23]Labda nile kwa ajili yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unakulaga??
[emoji23]na makorona kiguu na njiaHapo hujapata mamamkwe
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha kuwaingiza watu mkengeWatamu sana. Ukija kuwaonja huwezi kuacha. Yaani kuku utaona utopolo tu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji39][emoji39][emoji39]
Halafu uje hapa useme,hadi nikala samaki mchanga lakini wapi[emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]Labda nile kwa ajili yako.
Aiseee, watu wameyasaka madaraka tangu kitamboHuyo wa kulia huyo Mungu Anamuona na ma miamala yake !!!
View attachment 1856383
النقال الجديد؟Imeisha hiyo[emoji23]View attachment 1854412
Hahahaha, [emoji23][emoji23]Halafu uje hapa useme,hadi nikala samaki mchanga lakini wapi[emoji24]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lazima uwale hao wadudu kama asili yetu[emoji41]Hahahaha, [emoji23][emoji23]
Ndo mlivyo nyie.
Utanifundisha kula hao wadudu kabla hata tunda halijaliwa[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Na sasa hivi hatutumi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Huyo Mnyaki tayari keshabebwa na Msukuma. Hawa hawapindui kwetu. Ila kipengere, wanajua kupika 'ugali'?
Lete habari kamili mkuu. Najua ni Mrs. ila nilikuwa sijui kama kaolewa na Msukuma. Huwa anataniana sana na Wasukuma eti washamba na nitashangaa mno kama hubby wake ni Msukuma [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakukubali sana Mtumishi. Kama kweli umeolewa na Msukuma basi mhongereshe huyo ngosha kwa kujipatia mke mwema ajabu. Mpendane na maisha yenu yakajae upendo huku mkichukuliana na kuvumiliana. Bagosha [emoji8][emoji8][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ule Uzi wako wa romantic photos vp,hatuoni updates??