moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,133
- 770,212
Ankali wake Paula Kaja
Ankali wake Paula Kaja
Aiseee kumbe, kwani hizi simu zilianza mwaka gani?Unaongea selfie wakati hata tv hakuna isipokuwa karume aliwawekea tv wale waliojengewa ma flast basi.
Pale makoroboi Mwanza kulikuwa na duka lina Tv ya kununua, tukipita wakati huo tumeruhusiwa kuja mjini tunaliangalia hatukujua picha inatokaje.
Ndiyo maana sivai hiyo kitu
Kuna rafiki yangu alidhulumiwa laki mbili na rafiki yake mpaka leo haishi kulalamika japo ana hela zake nzuri tu. Bahati mbaya sasa jamaa aliyemdhulumu pia ni mtu tumeshibana sana. Mpaka nafikiria tu kumlipa huyu aliyedhulumiwa hiyo laki mbili ili apunguze kulalamika yaani kwa sababu kila akiniona na huyu dhulumati raha inaisha kabisa. Madeni yanavunja urafiki na kuharibu heshima!Yaani unakumbushia deni hadi wewe mwenyewe unajiona msumbufu. Mwisho wa siku calls hazipokelewi na texts hazijibiwi. Kazi kweli
Hahahaha
Mtoto mmoja wa kishua umenasa![]()

acha uchoyo n...nambie kazi yake.Nikukaribishe wewe

Mtoto wa kishua dah! Hiyo ni miguu iliyopauka ya mama wa kijijini huko. Unataka kusema hujui kazi ya miguu?acha uchoyo n...nambie kazi yake.



Kuna rafiki yako alidhulumiwa laki mbili na rafiki yake mpaka leo haishi kulalamika japo ana hela zake nzuri tu. Bahati mbaya sasa jamaa aliyemdhulumu pia ni mtu tumeshibana sana. Mpaka nafikiria tu kumlipa huyu aliyedhulumiwa hiyo laki mbili ili apunguze kulalamika yaani kwa sababu kila akiniona na huyu dhulumati raha inaisha kabisa. Madeni yanavunja urafiki na kuharibu heshima!
Kina kitu nimefananisha hapoMtoto wa kishua dah! Hiyo ni miguu iliyopauka ya mama wa kijijini huko. Unataka kusema hujui kazi ya miguu?![]()

Wengine wanasema ni MamaaKe mdogo,Mjombake Paula
Wengine wanasema ni MamaaKe mdogo,
Wengine anti yake,
Duh!
Funguken kirefu kdg
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Halafu huyu ukimtumia walao 5000 anunue mafuta na sukari hela inakatwa na serikali!Mtoto wa kishua dah! Hiyo ni miguu iliyopauka ya mama wa kijijini huko. Unataka kusema hujui kazi ya miguu?![]()
Mara ya kwanza simu zilianza zikiwa na kampuni ya mobitel mwaka1998. Nakumbuka ofisini kwangu nilienda kufundishwa jinsi ya kutumia hiyo simu. Mobitel ilianza na tv ya DTV Mwaka 1992 au 93. Mimi nilinunua TV mwaka 1994 ila wale waliokuwa wanatoka mtoni walikuwa wanaangalia video siyo tv. Radio tulikuwa na Radio TZ kiswahili na kiingereza na mtangazaji wa english channel alikuwa anaitwa Eda Sanga .Aiseee kumbe, kwani hizi simu zilianza mwaka gani?
Nilidhani wahenga nao walizitumiaRa
Hiyo njemba hapo ni she?Anaitwa Aggrey, ni dada maarufu wa mjini