moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,360
- 775,860
Kengere, enzi zetu hizo[emoji23]Eti watoto wa kishua, hiki ni nini?
View attachment 1856258
Kengere, enzi zetu hizo[emoji23]Eti watoto wa kishua, hiki ni nini?
View attachment 1856258
Hahahaha [emoji23]Nitajie kazi yake nini??
Mjombake Paula
Unaongea selfie wakati hata tv hakuna isipokuwa karume aliwawekea tv wale waliojengewa ma flast basi.Selfie enzi hizooo pia ilikuwepoView attachment 1855969
Ilikuwa mwaka gani hiyo. Makoroboi mitaa yangu sana hiyo yaani [emoji16]Unaongea selfie wakati hata tv hakuna isipokuwa karume aliwawekea tv wale waliojengewa ma flast basi.
Pale makoroboi Mwanza kulikuwa na duka lina Tv ya kununua, tukipita wakati huo tumeruhusiwa kuja mjini tunaliangalia hatukujua picha inatokaje.
EboSamaki nchanga [emoji39][emoji39][emoji39][emoji16][emoji16]
View attachment 1856266
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
View attachment 1856267
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka unaonekana wewe kituko. Huwa naapa sikopeshi tena lakini by nature wengine tunaamini hata uongo mweupe.
wadaiwa wangu kama mnasoma huu uzi mje mniletee pesa yangu.