moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,147
- 770,250
AiseeeKi sayansi ya siasa kila mtu ni mwanasiasa,kadhalika kwenye michezo. Kuipenda CCM na YANGA ni ishara tosha kuwa unaipenda nchi yako,so kama utaipenda nchi yako,hutoshindwa kunipenda mimi kindakindaki.
Yaani mimi hapo ni direct object,CCM na YANGA ni indirect object.
Sent using Jamii Forums mobile app




