Nilitaka niende[emoji3]
Walinzi wa mbunge
Unakatwa yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1855265
Huna haja ya kuteseka,mie nipo single na nahitaji mtu serious wa kufanya nae maisha. Ila aipende CCM na YANGA,basi. Kama upo read ni PM tu namba zako tujue tunafanyaje,I'm really very serious.Nilitaka niende[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]weeeh hii picha nimeipenda[emoji3]
Naanzaje kuwa mwanasiasa[emoji23]na mwanamichezo[emoji16]umenizarau[emoji23][emoji23][emoji23]Huna haja ya kuteseka,mie nipo single na nahitaji mtu serious wa kufanya nae maisha. Ila aipende CCM na YANGA,basi. Kama upo read ni PM tu namba zako tujue tunafanyaje,I'm really very serious.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatutumi saii mnafata magetoni tu [emoji16][emoji16]Mtatuma tu,
Selfika
Ki sayansi ya siasa kila mtu ni mwanasiasa,kadhalika kwenye michezo. Kuipenda CCM na YANGA ni ishara tosha kuwa unaipenda nchi yako,so kama utaipenda nchi yako,hutoshindwa kunipenda mimi kindakindaki.Naanzaje kuwa mwanasiasa[emoji23]na mwanamichezo[emoji16]umenizarau[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyinyi ndo mnasababisha kupandishwa kwa miamalaKi sayansi ya siasa kila mtu ni mwanasiasa,kadhalika kwenye michezo. Kuipenda CCM na YANGA ni ishara tosha kuwa unaipenda nchi yako,so kama utaipenda nchi yako,hutoshindwa kunipenda mimi kindakindaki.
Yaani mimi hapo ni direct object,CCM na YANGA ni indirect object.
Sent using Jamii Forums mobile app