Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nyinyi ndo mnasababisha kupandishwa kwa miamala
hapana Mkuu,mie najipigia kampeni tu nipate na mimi mtu wa kunishika mkono twende kanisani kufunga ndoa. Ila hata mimi hii ishu ya miamala sijailewa kabisa. Naungana na waTanzania wenzani ktk maumivu haya Mkuu.

Nia ni njema,ila najua ni njia nyingine ya kuifisidi nchi. Hela za namna hii ambazo hazipo kwenye mfumo unaeleweka hata zikiliwa hujui. Mfano,wanaweza pata fedha nyingi kwa miamala ya milioni kuendelea,ila tukaambiwa miamala ilofanyika sana na chini ya laki 5. Hapo tunakua tupigwa mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sawa basi safari njema kujipigia campaign
 
Wahaya mmezidi sasa
a3a3e71d78154a749d508e9636605d16.jpg
 
Back
Top Bottom