Clarence Seedorf
Senior Member
- Sep 29, 2019
- 174
- 1,884
Zama zimebadilika [emoji16][emoji16][emoji16]
Watoto wamekomaaZama zimebadilika [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1853859
[emoji16][emoji16]Watoto wamekomaa
Inachekesha kwakweli.Haha ka Mimi najichekeaga kwa sauti[emoji2960]
Picha sijaielewa[emoji3061][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1853921
Onyesha umakini wako.Picha sijaielewa[emoji3061]
Kwenye hiyo bluu,kakaza mkanda.Onyesha umakini wako.
Picha inasomeka vizuri tu
Fisadi wako ni shujaa wa mwingine (and vaisi vesa). Usifikiri wote walioingia (hawajapelekwa) barabarani ni wajinga!Huenda ni vizombi.[emoji849][emoji849]
Huwezi kunipeleka barabarani nikampiganie Fisadi.
View attachment 1853831
Oooh, blue maboya tu hayo, mziki wenyewe wala siyo huo[emoji2089][emoji2089]Kwenye hiyo bluu,kakaza mkanda.
Oooooooh nimeisoma[emoji28]Oooh, blue maboya tu hayo, mziki wenyewe wala siyo huo[emoji2089][emoji2089]
Kweli, ila uzuri ni kwamba sheria imeshachukua mkondo, haijalishi kama kuna wanaomuona shujaa au kibaka.Fisadi wako ni shujaa wa mwingine (and vaisi vesa). Usifikiri wote walioingia (hawajapelekwa) barabarani ni wajinga!
Hapo mkono umefika chini kabisa lakini hakjna kitu[emoji1]Noma sana, no money in the bank[emoji3][emoji3]