Sina hamu kabisa leo dah[emoji16][emoji16] hawa jamaa wa yanga wamenikalia kooni![emoji56][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1839070
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1727][emoji1727][emoji1727]Sina hamu kabisa leo dah[emoji16][emoji16] hawa jamaa wa yanga wamenikalia kooni!
JF siyo wabunifu. Wamewekeza sana kwenye kupiga watu ban tu mengine haya hawayajui [emoji16][emoji16][emoji16]Ila JF miaka yote hiyo hawafiki hata 1M
Hahahaha ndo huko kujitoa akili ili uwe juha ndo akili yenyewe
La sivyo maugomvi hata yasiyokua na msingi. Kuna watu hadi wanaziogopaga nyumba zao. Yaaani akitoka kazini anaanza kuwaza akazurure wapi muda uende ili asiende home
[emoji16]
View attachment 1838361
Mmhhh...shida ya kulazwa Muhimbili siitaki mimi[emoji3525][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1727][emoji1727][emoji1727]
View attachment 1839213