Aaahahahahhhahahahaa looh
Ngoja nirudi kwenye nyuzi zangu nilizoanzisha hapa JF zenye love lyrcs nione nilikulwa mara ngapi....!
Kwani na wewe unapataga wivu ukijua nimekulwa...!.
Sisi ni Siimbaaa.....
Umenikumbusha huu wimbo, mashika mashika mashilongo, hooyeeeee...!.
Shimba iiighhhh...! Ginehee..!





Huyu wa kushoto mwenye kivest chekundu mamake ndiye alikuwa mfanyakazi wa ndani Anodi akapita naye na kupelekea ndoa yake kuvunjika.
Umehesabu umepata ni mara ngapi kweli ulikuwa umetoka kukulwa?
Nachulale kawivu kanakuwepo ndiyo. Just imagining pisi kali wewe unakuliwa tu na wengine
Mashikolo mageni nkoyi![]()
Nacheka sana yani..huwezi amini mapema sana hawa umbwa wamemiss mbilinge za Magufuli

Nacheka sana yani..huwezi amini mapema sana hawa umbwa wamemiss mbilinge za Magufuli
Hawana raha kabisa wanawashwa tu mikong'oto na zile purukushani za kukamatana,hayo mambo hayapo sasa hivi hawajioni kabisa kama ni wanaharakati anymore,bila kipigo na kukamatwa au kutishwa...I wish Mom atawapuuza tu hawa vilaza
Lekaga amamihayo genayo nkoyi KasieHata sijahesabu bhebhee,
Mahaba yangu yanaendaga kwa wasukuma, sichezi mbali na nyumbani...
Msukuma ananikula getegete nkoyi
Kwani na wewe ni Msukuma..!??














