Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Yanga wanavimbaje leo, bora hata umeme ukatike tu tulale[emoji16]
Leo mnalo. Mmakubali kuchunwa ngozi laivu tena mbele ya mama. Shida nini? Mlijiamini kupita kiasi ama?
IMG-20210703-WA0163.jpg


Au shida ni mama kuwepo uwanjani?
IMG-20210703-WA0168.jpg
 
Tena kama ni wewe nitajua tu. Unakuwaga so happy na love poems/lyrics kibao. Hoooovyooo [emoji16][emoji16][emoji16]

Aaahahahahhhahahahaa looh

Ngoja nirudi kwenye nyuzi zangu nilizoanzisha hapa JF zenye love lyrcs nione nilikulwa mara ngapi....!😅😅😅

Kwani na wewe unapataga wivu ukijua nimekulwa...!😜😜😜🤪🤪.

Sisi ni Siimbaaa....😅.

Umenikumbusha huu wimbo, mashika mashika mashilongo, hooyeeeee...!😆😆.

Shimba iiighhhh...! Ginehee..!
 
Back
Top Bottom