Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20210605-213836~2.png

Hii Nayo kali
 
Ukiona hivyo ujue umeelewa. Kila mwanaume kwenye ndoa anaelewa hili swala.....Ushavurugwa huelewi uangalie TV au ukae uenjoy au ukalale au vipi

Nazipata mtandaoni tu mkuu. Ukiwa mpenzi wa picha,Picha huwa zina maana kubwa sana ukiziangalia zinaongea,kila siku nasemaga hili
Hii ni kweli kabisa,ilishawahi kunitokea kipindi ndoa changa,nikamfungia wife chumbani nikazuga kwa sebule km nacheki TV,sauti ya shetani ikaniambia "vipi hujui night club zilipo?"Mimi huyo nimerudi 0730am nipo njwiii.Nikamtoa lockup,toka siku hiyo hajawahi kuzingua tena.Nowdays wakizingua unavaa zako earphone unaingia zako shamba la Jf dakika unakutana na wana kama nyie no stress maisha yanasonga.
Anyway wanawake sio nyanja zote kuishi nao kwa akili wakati mwingine ukiishi nao kiujinga/kijuha unatoboa
 
Back
Top Bottom