Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Uto wanatafuta sababu ya kutokuja
Tunatafutaje wa pili wakati hatuna hata mmoja😂😂
Tunatafutaje wa pili wakati hatuna hata mmoja![]()

hapo sasa ,anza kutafuta wa kwanza+,Hujawahi sikia kaburi la Halaiki ,😂😂😂Imeisha hiyoooo.View attachment 1838394
Hivi hawa wasanii wetu wanashida gani?

Hahahaha ndo huko kujitoa akili ili uwe juha ndo akili yenyeweHii ni kweli kabisa,ilishawahi kunitokea kipindi ndoa changa,nikamfungia wife chumbani nikazuga kwa sebule km nacheki TV,sauti ya shetani ikaniambia "vipi hujui night club zilipo?"Mimi huyo nimerudi 0730am nipo njwiii.Nikamtoa lockup,toka siku hiyo hajawahi kuzingua tena.Nowdays wakizingua unavaa zako earphone unaingia zako shamba la Jf dakika unakutana na wana kama nyie no stress maisha yanasonga.
Anyway wanawake sio nyanja zote kuishi nao kwa akili wakati mwingine ukiishi nao kiujinga/kijuha unatoboa