[emoji23][emoji23][emoji23]kwa kweli watu wa huko kama kuna kitu nawakubali basi ni hiko tu, mizigo haswa!Wanyaki nakwambia haya ndo maumbo yao. Wamefungasha balaa. Mi nahamia huko tukabanane kwenye maparachichi hivyo hivyo. Na kwa vile napenda kuvaa suti si ajabu hata kanisa nitapewa aisee...Wanyaki hia ai kamu [emoji16][emoji16][emoji16]
Tukiwa- wave inabidi wao wa-wave back au wafanye chochote kile kuonyesha response [emoji16]Did you wave back or you just barked [emoji16][emoji16][emoji16]
Nipo hapa kukulinda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndugu wasukuma watakuja kwa fujo sana kunishambulia
Hii kweli kabisa
Zote hizi nimechapa.Wewe ni Legend na hauzeeki kama unazitambua hizi movie scenes.
TBT kwa wana JF... [emoji108][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1823439
View attachment 1823440
View attachment 1823441
View attachment 1823442
View attachment 1823443
View attachment 1823444
View attachment 1823445
View attachment 1823446
View attachment 1823447
View attachment 1823448
View attachment 1823449
View attachment 1823450
View attachment 1823451
Kutoka kushoto Ali Kiba,Babu Tale, Diamondi Platnumz na Marlo...hapo kabla ya Camera za kisasa(photo editing) kuingia sokoni, muonekano wao halisi
Hawa jamaa walikuwa ni wanariadha huko marekani miaka hiyo 1968 walishiriki mashindano ya Olimpic mji wa Mexico city,mmoja alimaliza wa tatu mwengine wa kwanza.hii picha iliingia kwenye kumbukumbu ya wamarekani weusi kwa kunyenyua kila mmoja mkono huku amekunja ngumu huku wamevaa soksi za mkononi kama ishara ya kupinga uonevu wa watu weusi huko America kama tuonavyo leo Black Lives Matter.mmoja alonyoosha mkono kushoto mwengine mkono wa kulia.kwa sasa sijajua wanaendesha vipi maisha yao ila waliungwa mkono na jumuiya za wanaotetea haki za watu weusi marekani.Pia walicheza American footbal .japo waliporudi marekani walitishiwa sana maisha kwa kitendo chao cha Kuinua ngumi juu kama dharau ya wimbo wa taifa ila kwa wamarekani weusi kilikuwa kama kitendo cha kishujaa.(American) Football legends?
Kabisa mkuu! πZote hizi nimechapa.
Ila -: Face off
B.H. Down
Baby's day out
Tears of the Sun
Nibalaa sama
Ndio X-rated itakuwa? π π πYaani kabisa mmeamua kuunganisha nguvu ili kushambulia Wasukuma? Mshindweeee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1823799
Kuna videmu vingine wanaingia nazo mitaani, basi zinakula vumbi wee... π π π π Sijui hawajui hazifai nchi hizi zetu! π€£
1. Tears of the sunWewe ni Legend na hauzeeki kama unazitambua hizi movie scenes.
TBT kwa wana JF... [emoji108][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1823439
View attachment 1823440
View attachment 1823441
View attachment 1823442
View attachment 1823443
View attachment 1823444
View attachment 1823445
View attachment 1823446
View attachment 1823447
View attachment 1823448
View attachment 1823449
View attachment 1823450
View attachment 1823451
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]