moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,135
- 770,219
Aseee, itakuwa ni CONGO DR, wanapenda sana kula kula vyakula vya ajabu
Aseee, itakuwa ni CONGO DR, wanapenda sana kula kula vyakula vya ajabu
Mikwara ya wakulima hiyo.
Nigeria mkuu... 😂 😂 😂Aseee, itakuwa ni CONGO DR, wanapenda sana kula kula vyakula vya ajabu
Huyu lazima atakuwa Mpare
Mbona mzuri tu hata bila makeup? Actually she looks more natural and chewable without it...Hakikisha ameosha uso ama umpeleke akaogelee baharini kabla hamjaendelea na mengine... This is too much nah!![]()
![]()
View attachment 1823465
Angeongezea na maharage hapo basi fomyula ingekuwa imekamilika

Scarcity is the mother of all inventions. Dogo ameona ajiongeze. Sawa sawa na astronauts kwenye International Space Station wanao-recycle mkojo na kinyesi ili kupata maji ya kunywa.Maisha bhana! shukurani kwa Mungu ukiamka salama...
View attachment 1823499
Kabisa mkuu! 🤣 🤣 🤣Angeongezea na maharage hapo basi fomyula ingekuwa imekamilika![]()


Facts bro. Tulipewa kila kitu, lakini tukawa wazembe yaani. Ndugu zetu wanapiga akili ya kufa mtu hadi wanatuibia ikizidi lakini hatuoni dadeq. Africa hii wallahi, sijui hadi lini.Scarcity is the mother of all inventions. Ipo hoja kwamba Afrika hatukuendelea kama wazungu kwa sababu ya kuwa na natural resources kibao. Wanaume wanne mnatoka tu hapo nje mnakwenda mnaua tembo kijiji kizima kinakula nyama hata mwezi mzima, ugundue mashine za nini? Ukiangalia nchi nyingi za Ulaya hawana kitu na ilibidi kupiga akili kweli kweli ili kupambana na mazingira yao. The curse of Africa - abundance of natural resources...na bado inatupa shida mpaka leo.