Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,320
- 71,084
Hahahaaa nimemuona halafu kwenye gazeti pa Mwananchi la leo anakata viuno kwenye kikao cha maza dahView attachment 1820236
Picha hazifai kuweka hapa
Tuma inbox bana...tunazisubiri kwa hamu.
Hadi wewe mkuuu hujaziona zina wiki nzima😂😂Connection jamani
Mkuu umejuajeUkimeza mara ya 4 nipigie nikupe air time ya bukuView attachment 1819911
Kupata uwaziri kwenye miaka hii lazima kwanza ujitoe ufahamuHuyu dogo naye anahangaika sana. Atulie asome upepo unavyokwenda. Kama ni uwaziri anatafuta ataupata tu lakini siyo kwa staili hii.
Umejaribu mkuu, angalia usije kupoteza maisha kizembeMkuu umejuaje




Hahahaa tuacheni tu wanyaki jamani