Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Duh [emoji15][emoji15][emoji15]
Ni babaake Ajib nini huyu?
Kwa kweli vituko vyenu baada ya kuingia simu janja (smartphone) ni balaa.Hahahaa tuacheni tu wanyaki jamani
Mkuu hatupendi ukorofi ujue😂😂Kwa kweli vituko vyenu baada ya kuingia simu janja (smartphone) ni balaa.
Baada ya vituko vya Wasukuma mnafuata nyie na kwa mbaali nawaona Wapare 😂😂🏃🏻🏃🏻
SHIMBA YA BUYENZE financial services
Kumbe we ni Mnyaki wa Tukuyu?
View attachment 1821080
Nilifikiri wa Kyela [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1821081
Kwa kweli vituko vyenu baada ya kuingia simu janja (smartphone) ni balaa.
Baada ya vituko vya Wasukuma mnafuata nyie na kwa mbaali nawaona Wapare [emoji23][emoji23][emoji1322][emoji1322]
SHIMBA YA BUYENZE financial services
Weee uisiwachukulie poa wasukuma na ushamba wao ooooh
Enzi hizoooView attachment 1820870
Miaka yangu 4 niliyoishi Mbeya niliinjoi sana vituko na vitimbi vyenu vya Kinyaki 😂😂Mkuu hatupendi ukorofi ujue😂😂