Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,153
- 829,098
- Thread starter
- #50,721









Sio kila anaeangalia simu yuko anaperuzi Insta, wengine simu ni vitendea kazi, maelekezo yote ya kazi tunatumiwa kwny simu za mikononi.View attachment 1809214
Dereva na mtayarishaji wake wote wapo busy na simu kuchat aisee hizi simu zimetufanya tuonekane kama wehu.
Sasa ndo usome barabarani huku unatembea na kujibamiza kwenye nguzo za umeme?Sio kila anaeangalia simu yuko anaperuzi Insta, wengine simu ni vitendea kazi, maelekezo yote ya kazi tunatumiwa kwny simu za mikononi.


