financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,362
Salimeti, naonewa humu ndani 😬😬🙄Jamani
Subiri akija. Mi simo![]()
Salimeti, naonewa humu ndani 😬😬🙄Jamani
Subiri akija. Mi simo![]()
Asitafute umaarufu kwa nguvu mjinga huyu
Ule ugali kama jiwe tutajitahidi uupate rafiki, hivi kwanini mnapenda liugali gumuu?Asanteni sana Wanyaki. Cha muhimu tu ugali (tena ule mgumu wa Kisukuma) usikosekane!
Huu ukweli kabisaaa
🤣🤣🤣artificial laifuFake lovers...
View attachment 1789132
Mzigo mzito mpe Mnyamwezi/MsukumaUle ugali kama jiwe tutajitahidi uupate rafiki, hivi kwanini mnapenda liugali gumuu?





Ndo maana ninesimama kidete kukutetea yaani. Huyu mpenda misambwanda hafai !!!Salimeti, naonewa humu ndani![]()
Kuna yule msanii Koffi mitoko yake aisee
Nitakupambania mpaka tone la mwisho soulimetiAhsante kwa kunitetea Salimeti! Amenionea sana huyu mbaba sijui ananionaje mimi![]()



Kijana wetu mmoja yalimkuta pale mabibo hostel, early 2010's......akipita hapa atajijua tu.......mtu kasafiri toka Morogoro
Tuliokulia kijijini tunamjua huyu
TuliyajengaBan hiyooooooo
Karibu sana Mtumishi, hakika wanyaki tutakukarimu, utajihisi upo usukumani
, daah, namisi hio kitu na tule tu mshikaki pale maeneo ya Meta mida ya jioni jioni huku ukipulizwa na kijibaridi flan ivi.But don't freezeRelax amigo. We just chill'n here![]()