Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_1102.jpg
 
[emoji3] afu kwani umefanyaje mkuu?, nikiclick hizo highlighted words ndiyo naona username zetu[emoji848]
Ujue ulivyoongea hapa, ndiyo na mimi nikaenda kuchungulia. Kwa kweli msukuma akierevuka, mnyaki yu matatani[emoji38][emoji38][emoji126][emoji126]
Nimeshangaa nikiclick "Mbeya" inatokeza Heaven sent hee nikaclick "makanisa" naona ndugu yetu karma duh "mengi" eti ni financial services jamani[emoji3][emoji3] msukuma mjanja sasa ataturingiaa[emoji119]

SHIMBA YA BUYENZE
Tutapata tabu mbona na msukuma mweeh[emoji119][emoji119][emoji119]
Nilikuwa nawachokoza tu nyie Wanyaki watani zangu jamani. Nina hamu ya kufika Mbeya siku moja. Bila shaka mtakuwa wenyeji wazuri [emoji1545]
 
Back
Top Bottom