[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah....aisee umenikumbusha mbali kinyama. Akizungusha kichwa akitulia direction ni huko alikoelekeza kichwa. Sikuhizi sijui wako wapi. Siwaoni kabisa.[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1788812
Sent using Jamii Forums mobile app
Nambole huyoo...sijui wamepotelea wapi?Dah....aisee umenikumbusha mbali kinyama. Akizungusha kichwa akitulia direction ni huko alikoelekeza kichwa. Sikuhizi sijui wako wapi. Siwaoni kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo zamani Tanzania ilipogundua dawa ya COVID 19View attachment 1788777
Wahenga tu ndo tunajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah....aisee umenikumbusha mbali kinyama. Akizungusha kichwa akitulia direction ni huko alikoelekeza kichwa. Sikuhizi sijui wako wapi. Siwaoni kabisa.
Kweli Kabisa, au unamuuliza, Dar es Salaam ni wap anakuonyesha, Dodoma ni wap anakuonyesha direction[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1788812
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16]Kuna jamaa siku moja alipost kwenye mtandao wakijamii (facebook)kuomba ela elfu kumi yeyote mwenye nayo, akajitokeza dada mmoja wakachat akamtumia pesa kumbe jamaa alikua ni tajir alikua anatafuta mtu mwema yule jamaa akamtafuta yule dada na kumzawadia gari na nyumba yenye thaman ya sh mil 50, na akawa msaidizi wa bishara zake . Anyways kwa kufupisha story tu, nina shida ya elfu 50 kwa yeyote mwenye nayo"