Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

hayaaa unaacha damu nzuri hivi???? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
angekuzalia vitoto vizuri ni acha kabisa! au joka la kibisa???

watoto wazuri hawaseme wagi mbov mubofu!!! una tatizo mahali wewe.
weee!! angalia mfalme Daudi alifika bei kwa mke wa Hulia.
samsoni ndo usisemew kabisaaaa!!

huyu hakosi soko utaishia kujinyonga tuuu!! subili
Kwahiyo hata kama kamkuta mahali analiwa 0713 unataka avumilie tu kisa atamzalia watoto wazuri?
 
FB_IMG_1621275602400.jpg
 
Wabunge ambao ni mashabiki wa Yanga, wakiwasilimia wachezaji wa timu ya wanawake wa Simba Simba Queen, kwa alama ya vidole 4 ambayo ni idadi ya magoli waliyofungwa Simba huko Sauzi.
View attachment 1788887
Wajinga[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34]
 
Back
Top Bottom