Pongezi kwa mpiga picha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Nimekumbuka mbali. Mzee Jidūndūfilū tulikuwa tunammalizia maembe yake...View attachment 1771009
Kama 2 by 2 walipie yote. Huwa ni wabinafsi Sana.Kwahiyo mama kubwa unataka usemeje labda au kwenye siti walipie nauli za watu wawili?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
VitoriaView attachment 1765078
Kwenu yanaitwaje haya??
Walikuja na ma V8 kuzindua nyumba ya tembe iliyounganishwa na umeme! 🤣 🤣 🤣Siasa za Afrika😂😂
View attachment 1764828
View attachment 1764829View attachment 1764831
View attachment 1764832
Kaja na Chopa kuzindua kadaraja ka mbao