Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Yeah! He is a she [emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah! He is a she [emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa viumbe usiombe Ukae nae Siti moja Kwa basi utajuta.
Kwenye basi angalau viti ni vikubwa kidogo.Kwahiyo mama kubwa unataka usemeje labda au kwenye siti walipie nauli za watu wawili?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Halafu Hana wasiwasi muda wote anatafuna Tu😜😜😜Kwenye basi angalau viti ni vikubwa kidogo.
Ukitaka kuwafaidi hawa upangwe nao pamoja kwenye ndege. Halafu kawe kasafari karefu ka zaidi ya masaa 6 hivi. Anachukua nusu ya siti yako...
Wacha chai ya moto! 🤣 🤣 🤣Jordan aliwahi kuDUNK na kukaa on air for 8 minutes View attachment 1765272
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hujambo mpendwa?[emoji23][emoji23]