Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hilo jicho kwa mwenzake utafikiri harusi ni yake [emoji16]
Sijambo Mpendwa za kwako Familia yako haijambo?Hujambo mpendwa?
Mimi, mke na watoto wote hatujambo. Vipi wewe? Familia yako hawajambo? Tumshukuru Mungu mpendwa [emoji1545]Sijambo Mpendwa za kwako Familia yako haijambo?
OkMimi, mke na watoto wote hatujambo. Vipi wewe? Familia yako hawajambo? Tumshukuru Mungu mpendwa [emoji1545]