[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2839][emoji2839][emoji2839][emoji2839]Mahaba Niue View attachment 1764540
Yanga pia waonywe,hii tabia ya kuwalambisha wachezaji mayai viza itakuja kutuletea mlipuko wa maradhi mapyaaaMwishowe gonjwa lingine la mlipuko.
Hizo ndo mjini tunaita "PEPO KALI".Ila inabidi uwe imara kila idara [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1764427
Kwanini mkuu?! Huyu picha yake si imeanza juzi juzi tu!Picha ya huyu jamaa ndio picha bora ya meme ya muda wote kwangu
Usisahau na kuvua shati unaliweka begani unatembea kifua wazi!Sometimes unawasha na fegi kdg[emoji16][emoji16]View attachment 1764641
Ni kijiji cha rumi ni chamwino, galatia ni moshi na kolosai ni msanga[emoji16][emoji16][emoji119]my country pipoView attachment 1764643
Aaaf chato ndo Bethlehem au?Ni kijiji cha rumi ni chamwino, galatia ni moshi na kolosai ni msanga
Kama hakupi,
Hahahaaa kaficha wakati kaiandika kwenye cover la spare tirenmehangaika kinoma kugundua, spare tire imemwangusha
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]mamaeee,,Africa kutamu nyie afu naona plate number kama ya majirani apoSiasa za Afrika[emoji23][emoji23]
View attachment 1764828
View attachment 1764829View attachment 1764831
View attachment 1764832
Kaja na Chopa kuzindua kadaraja ka mbao