[emoji16][emoji16][emoji16]Ukisikia mtu anakuambia niache kichwa changu hakijakaa pouwa,Ndio kichwa chenyewe hiki.....View attachment 1770002
[emoji30][emoji30][emoji30]
Anaacha ya ku-brush viatu hapo!
Duuuh, Mkuu inafaa kufanya matembezi ya hiari pande hizo.Wapo wengi sana kule Kigali mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1770303
Mkuu Mshana kuna ukweli kwenye hilo?[emoji2960][emoji1787][emoji1787]View attachment 1770264