sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,723
- 8,897
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dah watu wana vituko.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wachache sana watafahamu haka kakisima kako wapi...[emoji3][emoji3]View attachment 1557637
Chungulia PM yakoKwa manufaa ya jamiiView attachment 1557709
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amefichwa hukoKwa manufaa ya jamiiView attachment 1557709
Mbona ni mtu mzima, anapoteaje sasa?Kwa manufaa ya jamiiView attachment 1557709
Old Moshi sekondari..[emoji3]sio musoma hii ?
Wachache sana watafahamu haka kakisima kako wapi...[emoji3][emoji3]View attachment 1557637
Kilikuwa mbele ya bwalo chini chini kule kwenye miti....Basi hapo sometimes jopo lilikuwa likikaa linaanza kuwajadili madem wa Weruweru,Machame girl, Mawenzi sec n.k..[emoji28][emoji28]old moshi nimewah kufik hapo ila sijawahi kuona hiki kisima.labda kwa sababu huwa napita tu
Mbona ni mtu mzima, anapoteaje sasa?
Kilikuwa mbele ya bwalo chini chini kule kwenye miti....Basi hapo sometimes jopo lilikuwa likikaa linaanza kuwajadili madem wa Weruweru,Machame girl, Mawenzi sec n.k..[emoji28][emoji28]
so sad ..pole sana...mkuu,maisha haya yana mambo mengi acha tu[emoji24],hata mimi nimewahi kupotea mwaka jana yani nilijikuta naenda tu bila kujua naenda wapi i was stressed afu ilikua usiku,bahati nzuri nilifika sehemu akili ikarudi nikagundua nipo sehemu ambayo siijui so unaweza kukuta ya huyu jamaa haijarudi hadi leo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa hivi wanajidai wamekuwa wagumu.....hahahaa...hahahaha[emoji23] watoto wa Old moshi huwa wananifurahisha sana yani niwagumu sana siku hizi.wale wa sasa sidhani kama hata wanawaza mademu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa hivi wanajidai wamekuwa wagumu.....hahahaa...
Hapa nadhani nikitamka majina haya, watu wengi watakumbuka vizuri...Mzee Omy,Lisa Pita, Samki, Kyara, Baharia, P Did[emoji23][emoji23], Shayo aka Don Yeni na wengineo weengi...hahahaha[emoji23] watoto wa Old moshi huwa wananifurahisha sana yani niwagumu sana siku hizi.wale wa sasa sidhani kama hata wanawaza mademu