Ziraili wa gizaniMbona ni mtu mzima, anapoteaje sasa?
Ukute bwana Mshana Jr amempa madawa, anamtumia kwenye shughuli zakemkuu,maisha haya yana mambo mengi acha tu,hata mimi nimewahi kupotea mwaka jana yani nilijikuta naenda tu bila kujua naenda wapi i was stressed afu ilikua usiku,bahati nzuri nilifika sehemu akili ikarudi nikagundua nipo sehemu ambayo siijui so unaweza kukuta ya huyu jamaa haijarudi hadi leo
ahsante mkuu,haya mambo likiwa halijakutokea au hujawahi kuona utadhani ni kitu hakiwezekaniso sad ..pole sana...
Nakumbuka wakati nasoma o level, usiku kama saa saba au nane hivi jamaa akaamka akashuka kitandani...
Akatoka ila stail aliyotoka nayo iliwashangaza wanafunzi wachache wa A level walikuwa wanasoma pale bwenini usiku huo....jamaa akatokomea gizani akavuka fensi ya shule akaanza kuingia mtaani....wale waliokuwa wanasoma wakamkimbilia...wakamkamata jamaa hata hajielewi...akili zikamrudia baadae sana
ndio mtaani kwangu pale mkuu,naishi maeneo yaleHahahhaa...lile geti dogo lilikuwa tukifungiwa mchana, usiku linachokonolewa tu..kisha watu wanaingia hapo mtaani kupata DAWA..
😂mshana alimroga demu fulani mwaka juzi yule manzi kila wakati anamtaja jamaa humuUkute bwana Mshana Jr amempa madawa, anamtumia kwenye shughuli zake