Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,043
Ye mbona Tanzania wote watani zake ..akienda kwa wazaramo anawaita watani, kwa wagogo, wanyakyusa wote watani zake
ila yeye hataki wamtanie[emoji23]
Ye mbona Tanzania wote watani zake ..akienda kwa wazaramo anawaita watani, kwa wagogo, wanyakyusa wote watani zake
Kuna wanaotaniwa nchi hii kuliko Wasukuma?[emoji16][emoji16][emoji16] ni kweli.... tatizo tukiwatania mnaanza kulia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hapo sasaila yeye hataki wamtanie[emoji23]
Ila kweli hawapo, mkiondoka tutawamisi sanaKuna wanaotaniwa nchi hii kuliko Wasukuma?
[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Kuna wanaotaniwa nchi hii kuliko Wasukuma?
[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahahaaa et handsame! Lugha za watu hizi.Kigwa ni handsame sana tu tena sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aiseee