Mbagala Rangi Tatu 😁😁😁
Anadanganya.Wote tumsikilize huyu mtumishi kwa uangalifu na tuchukue tahadhari please. Mwezi wa nne siyo mbali 😁
View attachment 3195705
Ujumbe wa wake uko sahaihi.
Namba imetolewa januari
Huyo aliyerekodi ni wa kuchoma tu.
Ila jambo zuri ingawa wanakosoa hicho kizungu cha Diamond wao wenyewe Kiswahili hawakijui.
😹😹😹 Tatizo Hennessy nikinywa naanza kumtafuta dear ex tugombane..!!Yaani namwambiaga Labella kila siku hiyo pombe yake nikiiona chupa yake tu nasikia mawenge...😅😅😅sijawahi kuitest ila naiogopa.....mdogo wangu kasema hennessy halewi
Kaka acha uongo basi 😹😹😹Jägermeister ukiifakamia bila mpango unaweza kujishushia mzigo. Walevi wengi huwa wanainywa kwa step...
Mwambie kwenye Hennessey adondosheemo vishoti vya Jameson. Dakika 10 hamalizi atakuwa keshawaka! 😁
Nchi nyingi za Ulaya kifungo ni kuzuiwa tu na kukosa baadhi ya mambo, lakini wafungwa hupata huduma kadhaa za kibinadamu tofauti na nchi zetu hizi.Em ngoja kwanza, kwahiyo ulaya wafungwa huwa na simu zao vyumbani?