Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,259
- 35,534
Nakwambia bora uwe mfungwa ulaya kuliko prezident africaEm ngoja kwanza, kwahiyo ulaya wafungwa huwa na simu zao vyumbani?
Hawa walivyokuwa waropokaji soon watasema bodaboda wote ni mambususu
Aise kama kuna mtu dunia hii ana furaha kuliko wote huyu mswati kwa kweli full furaha. Alafu jamani nipe i ramani ya kufika eswatini nikale totoz za mbabane na manzini
Sirudshi aseee! Weee 🤨
Mbona naona mangorongonjo!? Mnh!Picha hizi ni za Cy Twombly, mmoja wa wasanii wa kisasa wa gharama kubwa zaidi. Picha zake za uchoraji zinaanzia $2 million hadi $75 million 😮🤯View attachment 3195062
Duh naona unazidi kuniweka mbali na jagermeister!😅😅😅😅 Labella njoo kuna mkemia huku katoa formula ya weekendJägermeister ukiifakamia bila mpango unaweza kujishushia mzigo. Walevi wengi huwa wanainywa kwa step...
Mwambie kwenye Hennessey adondosheemo vishoti vya Jameson. Dakika 10 hamalizi atakuwa keshawaka! 😁
Sasa hapo kuna picha kweli au tunatanianaPicha hizi ni za Cy Twombly, mmoja wa wasanii wa kisasa wa gharama kubwa zaidi. Picha zake za uchoraji zinaanzia $2 million hadi $75 million 😮🤯View attachment 3195062
Watakwambia u dnt understand artMbona naona mangorongonjo!? Mnh!
Hapo unachingulia tako la sanamu ya mrembo 🤣🤣🤣🤣
Kha! Wizi huo. Haipensezi kwa weye mremboSirudshi aseee! Weee 🤨