Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20241220_210339_Instagram.jpg
 
Mbona hamna jagermaster Labella atakunywa nini sasa?😂
Aliyegundua Jägermeister mbingu ataisikia kwenye tivii tu. Pombe ya hovyo kabisa yaani. Ndiyo maana hata Labella haifagilii.

Kapigeni Hennessey ndiyo pombe inayopendwa na pisi kali zenye hela kama nyinyi! 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Back
Top Bottom