Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20240627-153607~2.jpeg
 
Ile mizigo mkuu umri hauruhusu tena. Nimehamia rasmi huku kwa tuvimbaumbau. Cha muhimu tu kiwe slim thick (if you know what I mean). Hii mitulinga kama ya huku Singida kwenye alizeti labda mara moja moja tu mkuu ila kuweka kambi hapana kwa sasa! 😁😁😁🖐🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

View attachment 3028465
Mitulinga inakutoa jasho mzee🤣🤣🤣
 
Ile mizigo mkuu umri hauruhusu tena. Nimehamia rasmi huku kwa tuvimbaumbau. Cha muhimu tu kiwe slim thick (if you know what I mean). Hii mitulinga kama ya huku Singida kwenye alizeti labda mara moja moja tu mkuu ila kuweka kambi hapana kwa sasa! 😁😁😁🖐🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

View attachment 3028465
Kumbe umekuwa kama Mimi Mkuu, Mwaka 47 ilikuwa ndiyo pisizangu hizo

Kwa umri huu nikisema nichukue wa hivyo lazima nikufe Kwa kifua 😜
 
Back
Top Bottom