Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Ile mizigo mkuu umri hauruhusu tena. Nimehamia rasmi huku kwa tuvimbaumbau. Cha muhimu tu kiwe slim thick (if you know what I mean). Hii mitulinga kama ya huku Singida kwenye alizeti labda mara moja moja tu mkuu ila kuweka kambi hapana kwa sasa! 😁😁😁🖐🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Mkuu unachokihubiri na unachokitenda ni vitu viwili tofauti 🙌
Mbona huyo Mama E hana zile nyama nyama kama ile mizigo Mkuu 😅 😜
Umefanya nimzoom mara mbili mbili kujiridhisha, Kwa mbali utasema Bibi yenu Mwaka 47 🤗