Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,873
- 37,756
Wacha bwana!Sitaki rafiki wa kiume 😅😅.
Sasa hapo hakuna urafiki Tena, maana mtaanza kuoneana wivu..
Sitaki rafiki wa kiume 😅😅.
Kaaazi kweli kweli😎😎
🙈🙈🙈🙈Usinikatishe tamaa rafiki yangu🤣🤣
Ujenge unamjengea nani, hakujenga baba kipindi kariakoo kiwanja 150, nitajenga mimj sasa kiwanja kigamboni milioni 50.Kila kona mitego mtajenga kweli😁😁