Sahihi mkuuHii iko goba
😊😁Sahihi mkuu View attachment 3028702
Geto hunikosi na mfuko wa karangaView attachment 3028669
Hizo ndiyo busta

Ubarikiwe bossSahihi mkuu View attachment 3028702

Ukiona hadi Jesus mwenyewe ameshika kiuno Kwa Kuchoma ujue jambo ni zito hasa 😜
Yaani hadi Vijana wanaonekana ni Wazee 😜Kila kitu kipo Kenya
View attachment 3028675
Usikute Mjukuu wangu ephen_ ameshaanza kutaja Siri za Babu yake za Mwaka 47 😜Acha kamba ndugu yangu. Habari nilizonazo ni kwamba hata hapa hapa tulipo bado unaburuza mitulinga tena ile gredi wani kabisa. Labda miaka 10 huko mbele ya safari ndo utaanza kusalimu amri. Wanasemaga vunja mifupa wakati meno ingaliko! 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Babu mimi sina siri yako hata moja na hata nikiipata nitafunga mdomoUsikute Mjukuu wangu ephen_ ameshaanza kutaja Siri za Babu yake za Mwaka 47 😜
Kweli tumezeeka sasa 🤗
Kuna siku Shimba ya Buyenze aliandika
➡️➡️✅️ Huwezi kumpaka mtu matope halafu ukabaki msafi'
➡️➡️✅️ Jifunze kuficha siri za wenzako na zako utafichiwa'
Nimeanza maelezo bila kukusalimia 'Shikamoo babu'
Marahaba Mjukuu, umeongea maneno ya busara sana......🤗Babu mimi sina siri yako hata moja na hata nikiipata nitafunga mdomo
Kuna siku Shimba ya Buyenze aliandika
'Huwezi kumpaka mtu matope halafu ukabaki msafi'
Kuna siku nilimcheka mwalimu wa kiume sababu aliloa nyuma ya makalio lile jasho likawa linaonekana kwenye suruali rafiki yangu akaniambia 'Jifunze kuficha siri za wenzako na zako utafichiwa'
Hizo sentensi mbili huwa zinakaa kwenye akili yangu sana.
Nimeanza maelezo bila kukusalimia 'Shikamoo babu'