Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuna saa nawaza ukombozi wetu kwenye nchii utatoka kanda ya ziwa , ikizingatiwa mwalimu nae alitoka kanda hio hio.
Kabinywa tu huyo hana maslai yoyote anayoyapata kwa sasa. Akilamba asali, ananyamaza kimyaaaaa. Usiwaamini hawa wanasiasa wetu. Huyo toka atapeliwe ekari 1000 kule Iringa, nimemtoa maana sana.
 
Kwa Mama E hakuna kuchapiwa mkuu. Hata ma male besties wamepambana sana lakini wameshindwa 😁😁😁💪💪💪

View attachment 3027917
Mkuu unachokihubiri na unachokitenda ni vitu viwili tofauti 🙌

Mbona huyo Mama E hana zile nyama nyama kama ile mizigo Mkuu 😅 😜

Umefanya nimzoom mara mbili mbili kujiridhisha, Kwa mbali utasema Bibi yenu Mwaka 47 🤗
 
Back
Top Bottom