Kugharamika sana ni kujichosha tu.
Jitahidi kua na mwanamke anayekupendaKugharamika sana ni kujichosha tu.
Unagharamika kuna mtu anakula bure!!
Pambana kijana ajira utapata tu🙏Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
Kuna mchezaji anaitwa Ricardo Kaka, amependana na msichna, wakaoana, wamezaa na watoto lakini mwaka huu mwanamke amesaliti ati kwakuwa mumewe ni muaminifu sana.Jitahidi kua na mwanamke anayekupenda
Hata hivyo dawa hiyo inatibu maradhi mengi sana.