Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_2967.jpeg
 
Aisee, unaimba vizuri na mashairi mazuri.🤣
Twende kwa Master J tukarecord hii single yako tutauza sana.
Maana umeandika vitu vingine sikuvijua kabla.🙏🙏
Dudu baya na wimbo wake.....
Nakupenda tuu, vile ulivyo nakupenda tuu...

Japo hauna mabega, nakupenda tuu..
Ukiingiza kichwa tuu inazama yote, nakupenda tuu....
Ikianza chungu/maumivu ikiishia tamu na uroda, nakupenda tuu...

Dudu baya ila linasababisha watu wagombane, wauane, wahitilafiane, wachukiane n.k.

Dudu angekuwa mtulivu, mengi mabaya yangeepukika.
Dudu likiwaka halielewi kitu hadi litulizwe....😏😏
Dudu lina jicho moja ila linaona hata likiwa limefungiwa kwenye kufuli, litachomoka bila miwani dudu linainua kichwa juu kutafuta mahala pa kutulizia/kupunguza uzito.

Ila ukikutana na dudu inayomilikiwa na mstaarabu shupavu, uweeeh.....

Hutaki hata kina mwajuma na sophia wajue yaliyomo yamo.

Hizi akili za Kasinde zikianza kuteremsha silabu, bila kuweka oko viganjani ntajikuta nachana mkeka....

Alamsiki.
 
Back
Top Bottom