Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
 
FB_IMG_1718029854067.jpg
 
Mungu akuwezeshe ndugu yangu,akukutanishe na mtu atakeye kukutanisha na kazi yako, awe mtu sahihi na mwema asiye hitaji hio asilimia kumi.
Jaliwa kufanikiwa mkuu.
 
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
Duhh
Kila la kheri
 
Back
Top Bottom