hahaha
tungo tata ataitwa .
Naomba nikuulize swalimkuu 'melusine8': hivi hawa viongozi wetu wa hivi viinchi vyetu ilikuwa ni lazima wawepo kwenye huo msiba?Asante
Afadhali umeona hiyo, maana ni nchi sita tu ndio zilizo kuwa na usafiri binafsi ambazo ni
Marekani, German, Japan, Israel, Canada na France.
Malalamiko wanafanya ya nini kama nchi kubwa kama Australia nayo pia iliachwa!
Watu wengine ni vibuyu kweli kweli walahi![]()
Wanatia hasira Sana.
Haya madesa kachanganya mapema sana...ukiangalia kwenye njia ya pili mwanzoni kainame ile angle kama 60-n, af kwenye kusolve akainame n, sasa lazima ajimix mapema tu...so jibu ni 25°Wanahisabati. Jibu sahihi hapa ni 25 au 35? 🙏🏿 🙏🏿🙏🏿
View attachment 2953424View attachment 2953426View attachment 2953427
Imagine wengine wanavitumia bila kuwa kwenye ndoa. Kimbembe wakija kuolewa na kuanza kutafuta watoto sas mh!
Ikiwa hivyo ndivyo haina maana kuchangia. Unajitoa kwa ajili ya jamii kumbe kuna jitu linanufaika bure bure.Ndiyo. Mimi nilishauriwa kwenda kuiondoa hiyo organ donor maana ukipata ajali halafu uwe peke yako ukifikishwa hospitalini jamaa wanaweza wakaamua kuvuna kila kitu halafu wakaandika ripoti ya uongo kuwa ulikuwa huponi. Na ukiwa mweusi uwezekano huo ni mkubwa zaidi. Niliogopa!
Mungu atupe uhai tuone mwisho wa urafiki wa marafiki hawa utaishaje.
🙏🙏🙏🙏Anza siku yako na tabasamu,unaweza kutabasamu kwa mema na mazuri uyakumbukayo.View attachment 2954168