myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Ndiyo. Mimi nilishauriwa kwenda kuiondoa hiyo organ donor maana ukipata ajali halafu uwe peke yako ukifikishwa hospitalini jamaa wanaweza wakaamua kuvuna kila kitu halafu wakaandika ripoti ya uongo kuwa ulikuwa huponi. Na ukiwa mweusi uwezekano huo ni mkubwa zaidi. Niliogopa!Kumbe unaweza kuwa organ donor na bado viungo vyako vitauzwa[emoji849] na pia utajiweka kwenye hatari ya kunyofolewa viungo vyako katika mazingira ya ajali ingawa ungeweza kupona[emoji849][emoji849].
Dunia siyo mahali salama kwa sasa
🙏🙏🙏🙏🤲Harakati za mwanadamu katika kutafuta riziki hazina utulivu wala urahisi, zimejaa misongamano na mibanano kwa vile kila mmoja ifikapo asubuhi huamka nakulekea kwenye harakati hizo.
Asubuhi asubuhi yetu ikawe njema hatakama itaambana na usumbufu wa namna moja ama nyingine View attachment 2953404
Akivaa Sendo na Soksi je?
Urafiki wa kweli 💯 imenitouch kwenye chembe cha moyo